Meneja wa kampuni ya Nokia wa nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika, Keneth Oyolla akizindua aina mbili za simu za mkononi aina ya Nokia zinazotumia laini mbili maarufu kama ‘Nokia Dabo Dabo’ jijini Dar es Salaam jana.
Vodacom Yaangazia Jinsi Mtandao Unavyochochea Ushiriki wa Kidijitali
Kuelekea Dira ya Maendeleo 2050
-
-Ni katika Wiki ya Ubunifu Tanzania (IWTz) 2026
Katika Wiki ya Ubunifu Tanzania (IWTz) 2026, Vodacom Tanzania imeonyesha
mchango wa mtandao, ubunifu na uj...
8 hours ago
No comments:
Post a Comment