Habari za Punde

*VIBAO HIVI TAYARI VIMEZINDULIWA AMA BADO?

Vibao vya alama za barabarani vilivyowekwa katika baadhi ya barabara za katikati mitaa ya Posta, vingi vimekwishajizindua kabla ya kuzinduliwa rasmi kama moja kati ya vibao hivyo kinavyoonekana kikiwa tayari kimeshafunuka gazeti lililokuwa limekifunika na kuleta utata kwa baadhi ya madereva wanaokuwa wakijishangaa pindi wanapotaka kutumia njia iliyo na vibao hivyo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.