Mkurugenzi wa Kamati ya Vodacom Miss Tanzania, Hashim Lundenga, akiwaonyesha na kuwalingishia funguo ya gari aina ya Jeep, warembo washiriki wa shindano hillo la kumsaka Vodacom Miss Tanzania 2011, baada ya kukabidhiwa gari hilo na wadhamini wakuu wa shindano hilo Vodacom, ambalo ndilo litakuwa zawadi ya mshindi wa kwanza wa yaani VODACOM MISS TANZANIA 2011. Hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika leo jijini Dar es Salaam.
DC MSANDO AAGIZA KUFUFULIWA VISIMA VINNE MBURAHATI, HUDUMA YA MAJI KUREJEA
-
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo (DC), Mheshimiwa Abert Msando ametembelea na
kukagua hali ya huduma ya upatikanaji maji kata ya Mburahati wilayani humo
huku akito...
3 hours ago

No comments:
Post a Comment