Habari za Punde

*WASANII WA TMK WANAUME CHEGE NA TEMBA WATEMBELEA OFISI ZA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA

   

Vilevile waliweza kutembelea idara mbalimbali na kujionea jinsi gani Ubalozi wetu hapo jijini  London unavyofanya kazi hususani katika idara nyeti ya Uhamiaji inayoongozwa na ofisa Ambokile na Kupiga Picha za pamoja wakiwa na Mh Naibu Balozi Mh Chabaka Kilumanga Pamoja na baadhi ya maofisa wa Ubalozi.
Naibu Balozi Mh Chabaka Kilumanga, akiwa na wasanii hao ofisini kwake.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.