Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Marta Santos Pais, Mwakilishi maalum wa Katibu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na harakati za kutokomeza unyanyasaji wa watoto, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo kuhusu ripoti ya unyanyasaji wa watoto inayohusu hali ya Tanzania na inayotarajiwa kuwasilishwa rasmi hivi karibuni.
DKT NATU: TANZANIA NA UNICEF KUENDELEZA USHIRIKIANO
-
*Na. Joseph Mahumi, WF, Dodoma*
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-Maamry Mwamba, amekutana na
kufanya mazungumzo na Naibu Mwakilishi wa Shiri...
4 hours ago

No comments:
Post a Comment