Habari za Punde

*CCM YATETEA KITI CHAKE CHA UBUNGE IGUNGA, DKT KAFUMU AWAMWAGA WAPINZANI WAKE

Haya ni Matokeo yaliyopatikana katika Vituo vya kupigia kura:-
Kituo cha:- Mboto CCM 730, CHADEMA 302
Kituo cha :- Nguvu moja CCM 694, CHADEMA 284
Kituo cha:- Nkinga CCM1479, CHADEMA 1085
Kituo cha:- Itumba CCM1079, CHADEMA 590
Kituo cha:- Nanga. CCM 897, CHADEMA 645
Kituo cha:- Igurubi CCM 925, CHADEMA 592
Kituo cha:- Mwisi CCM 926, CHADEMA 992
Kituo cha:- Mbutu CCM 1186, CHADEMA 1426
Kituo cha:- Kinungu CCM 505, CHADEMA 268
Kituo cha:- Ngulu CCM 622, CHADEMA 412
Kituo cha:- Igunga CCM 3181, CHADEMA 3358
Kituo cha:- Choma CCM 1227, CHADEMA 918
Kituo cha:- Kining. CCM 700, CHADEMA 451
Kituo cha:- Mwashiku. CCM 798, CHADEMA 484
Kituo cha:- Nsimbo CCM 738, CHADEMA 1016
Kituo cha:- Itunduru CCM 738, CHADEMA 784
Kituo cha:- Mwamashimba CCM 1224, CHADEMA 1421
Kituo cha:- Mbutu CCM 1335, CHADEMA 1427
Kituo cha:- Bukoko CCM 1136, Chadema 931
Kituo cha:- Nyandekwa CCM 691, Chadema 631
Kituo cha:- Ndembezi CCM 866, Chadema 806
Kituo cha:- Chabutwa CCM 545, Chadema 581
Kituo cha:- Ziba CCM 1053, Chadema 860
Kituo cha:- Igoweko CCM 1051, Chadema 880
Kituo cha:- Sungwizi CCM 1225, Chadema 718
Kituo cha:- Isakamaliwa CCM 525, Chadema 593

IDADI YA WAPIGA KURA WALIOANDIKISHWA:- 171019
IDADI YA WALIOPIGA KURA:- 53627
IDADI YA KURA HALALI:- 52487
IDADI YA KURA ZILIZOHARIBIKA:- 1185
IDADI YA KURA ZA WAGOMBEA
(1)- Steven M. Mahuvi, AFP jumla ya kura:- 235
(2)- Dkt. Kafumu P. Dalaly, CCM jumla ya kura:- 26484
(3)- Kashindye J. Mwaidu, CHADEMA jumla ya kura:- 23260
(4)- Hassan R. Rutegema, CHAUSTA jumla ya kura:- 182
(5)- Mahona L. Lucas, CUF jumla ya kura:- 2104
(6)- Saidi M. Cheni, DP jumla ya kura 76
(7)- John M. Maguma, SAU jumla ya kura:- 83
(8)- Hemed R. Dedu, UPDP jumla ya kura:- 63

 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.