Habari za Punde

*DEO NJIKU WA MOROGORO NA JONAS SEGU WA DAR ES SALAAM, KUZICHAPA KESHO MORO

Kocha wa mchezo wa ngumi Nchini, Rajabu Mhamila, ' Super D Boxing Coach' (katikati) akiwatambulisha mabondia, Deo Njiku wa Morogoro (kushoto) na Jonas Segu wa Dar es salaam, baada ya kupima uzito katika uwanja wa
Jamuhuri mjini Morogoro leo kwa ajili ya mpambano wa kuwania ubingwa wa Taifa wa Oganaizesheni ya ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBO) utakaofanyika kesho jumapili.
Picha na Rajab Mhamila

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.