Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi tuzo mmoja wa wanafunzi wa Sheria waliosoma katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, wakati wa Kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo hicho tangu kilipoanzishwa mwaka 1961, zilizofanyika Chuoni hapo jijini Dar es Salaam leo .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi tuzo mmoja wa wanafunzi wa Sheria waliosoma katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Naibu Katibu MKuu wa Umoja wa Mataifa, Dkt. Asharose Migiro, wakati wa Kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo hicho tangu kilipoanzishwa mwaka 1961, zilizofanyika Chuoni hapo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi tuzo mmoja wa wanafunzi wa Sheria waliosoma katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Waziri Afrika Mashariki, Samuel Sitta.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi tuzo mmoja wa wanafunzi wa kwanza wa kike wa Taaluma ya Sheria katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Julie Manning, wakati wa Kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo hicho tangu kilipoanzishwa mwaka 1961, zilizofanyika Chuoni hapo jijini Dar es Salaam leo .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa Kitivo cha Sheria, baada ya kutoa tuzo kwa baadhi ya wanafunzi wa zamani wa Taaluma ya Sheria waliosoma katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment