*KARIBU KONA MANGOMA "It's all about East African Flava"

Habari zenu wadau wote... Tunapenda kuchukua nafasi hii ya kipekee kabisa kuwakaribisha katika Libeneke jipya kabisa la KONA YA MANGOMA  Ambapo mtapata kutazama video mpya na nyenginezo nyingi kutoka pande zote Afrika Mashariki yani Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi..Pia tunaomba wasanii wote ambao mnatoa Video mtutumie link kupitia barua pepe hii (konayamangoma@live.com) ili tuweze wape sapoti ya juu, Kwa pamoja tunaendeleza Muziki wa Afrika. Tunatanguliza Shukrani  zetu za dhati kwenu. Ukiona link hii mpe na mwenzako.

Jina la Blog: Kona ya Mangoma
Link www.konayamangoma.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Templateism Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.