Habari za Punde

*MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AHUDHURIA MKUTANO WA MAWASILIANO WA KIMATAIFA GENEVA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza katika mkutano wa Mawasiliano wa Kimataifa, uliofanyika Geneva, Switzerland, jana.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Mawasiliano wa India, Kapil Jibal, wakati walipokutana katika  ufunguzi wa mkutano wa Mawasiliano wa Kimataifa, uliofanyika jana, Geneva, Switzerland.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihojiwa na mtangazaji wa Televisheni ya CNN, Becky Underson, baada ya kuhudhuria katika mkutano wa Mawasiliano wa kimataifa uliofanyika Geneva, Switzerland.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.