Habari za Punde

*MAANDALIZI YA MKUTANO WA CHOGM-PERTH AUSTRALIA

 Sehemu maalumu ya kufanyia kazi waandishi wa habari watakaohudhuria mkutano wakuu wa nchi wanachama wa jumuia ya madola (CHOGM ) mjini Perth Australia kuanzia ktoba 28- 30 Okt. 2011 . Mkutano wa CHOGM hufanyika kila baada ya miaka miwili. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
 Eneo la mapokezi kwa waandishi wa habari wanaoshiriki kwenye mkutano wa Wakuu wa nchi wanachama wa Jumuia ya Madola CHOGM 2011 (Commonwealth Heads of State Government ) mjini Perth Australia -oktoba 26,2011.
 Baadhi ya waandishi wa habari wakisubiri kupatiwa maelekezo na ungozi wa CHOGM kwaajili ya maeneo stahili ya kufanyia kazi. wakati wa mkutano wa wakuu wa nchi wanachama wajumuia ya madola.
Hawa ni wafanyakazi wa Kampuni itakayokuwa ikirusha live Mkutano huo, wakiandaa mitambo yao.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.