Habari za Punde

*MARRY NANGU AZINDUA OFISI YA KITUO CHA UWEKEZAJI TCI MBEYA

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwezeshaji na Uwekezaji), Dk. Mary Nagu akikata utepe kuzindua ofisi ya kituo cha uwekezaji (TCI) nyanda za juu kusini mjini Mbeya. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro.
  Jengo hilo la TCI, lililozinduliwa Mkoani Mbeya.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi huo, ambapo alisema kuwa mkoa wake unazo fursa nyingi zikiwemo za kilimo katika Bonde la Mbarali na maeneo mengine, ufugaji, uvuvi katika ziwa Nyasa, utalii katika Hifadhi ya Taifa ya Kitulo na uchimbaji wa makaa ya mawe katika eneo la Kiwira.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.