Wapenzi wadau na wasomaji wa Mtandano wa Sufianimafofo Blog, napenda kuwafahamisha kuwa, Mpiga picha wa mtandao huu na wa Moe Blog, Geofrey Mwakibete amebahatika kuchaguliwa kuwa miongoni mwa washiriki wa shindano la SWAHILI FASHION WEEK AWARDS katika kundi la Wapiga picha bora wa Mitindo.
Hivyo tunapenda kuomba kura zenu kwani kwa kutambua mchango wennu katika Teknolojia jii ya habari kupitia Mablogger, bila nyinyi asingefanikiwa kupata nafasi hii hivyo tunaomba tuendelee kumpa sapoti na hamasa kwa kumpigia kura kupitia mtandao wa,
No comments:
Post a Comment