Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla (wenye suti) akiangalia uzio uliowekwa na mwekezaji katika Kitongoji cha Kinyenze, Kijiji cha Kipera, Wilayani Mvomero, Mkoa wa Morogoro na kuziba njia inayokwenda katika mtaa wa Mwanga na katika mashamba. Pia mwekezaji huyo raia wa kigeni amechukua sehemu ya mashamba ya wananchi hao bila ya taarifa yeyote kwa Halamashauri ya Kijiji na wananchi.
Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla (wenye suti) akionyeshwa sehemu ya shamba hilo la mwekezaji eneo lililofungwa njia na kuwazuia wananchi kupita. Picha na Mroki Mroki
No comments:
Post a Comment