Habari za Punde

*MSUYA AHUTUBIA WANAHISA WA TBL KATIKA MKUTANO MKUU WA MWAKA

 Waziri Mkuu mstaafu, ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Cleopa Msuya (katikati), akihutubia katika mkutano mkuu wa mwaka wa 38 wa wanahisa wa kampuni hiyo, Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa TBL, Robin Goetzsche na kushoto ni viongozi wa kampuni hiyo,na Katibu wa kampuni hiyo, Haruna Ntahena
  Mwanahisa wa TBL, Mzee Kibonde kutoka Rungwe mkoani Mbeya, akichangia hoja wakati wa mkutano huo.
Baadhi ya wafanyakazi wa TBL, waliofanikisha mkutano huo.
Waziri Mkuu mstaafu, ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Cleopa Msuya (aliyevaa tai nyekundu), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanahisa wa kampuni hiyo, baada ya kumalizika kwa mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.