Habari za Punde

*TAARIFA YA MSIBA WA MTANZANIA AISHIE UINGEREZA SAID SIKAMKONO

Taarifa ya msiba wa Mzee Said Muhammad Sikamkono, ambaye ni mtanzania uliotokea jana nchini Uingereza mazishi yatafanyika kesho tarehe 13/10/2011 katika makaburi ya Hainalt Garden of Peace saa nane mchana.

Ila kabla ya makaburini wanaombwa watanzania wote kufika katika msikiti wa Sakina Walthamstaw (basi namba 179) saa sita na nusu mchana.

Shughuli zot za msiba huo zinafanyika nyumbani kwa marehemu Woolwich Dorkyard ambako wote tunakaribishwa kuanzaia mahala hapo muda wowote kwa ajili ya kujumuika na familia ya marehemu wakati huu wa majonzi .

Wakina mama pia wanaweza kufika msikitini au nyumbani kwa marehemu kwa ajili ya kutoa pole.
Address ya sehemu ya msiba ni;

Woolwich Ferry

405,Frances Street, London.

SE18 5JU.

Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na;

07813539025 - Haruna mbeyu.Katibu Jumuiya ya Watanzania -london

07766454596 - Abdallah Mdidi
Jestina George

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.