Habari za Punde

*FRANCIS MIYEYUSHO BINGWA MPYA WA UBO AMYEYUSHA MATUMLA KWA POINTI

 Bingwa Mpya wa UBO katika uzito wa Bantum,Francis Miyeyusho akifurahia ubingwa wake baada ya kutangazwa mshindi alipomtandika bila huruma aliyekuwa Bingwa akishikilia mkanda huo, Mbwana Matumla katika pambano lao la raundi 12, lililofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, usiku huu.

Hapa ni wakati akivishwa mkanda huo na Mgeni rasmi, Mlezi wa Mchezo wa Ngumi hapa nchini,Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova huku Diwani wa Kinondoni,Abbas Tarimba (kulia) akishuhudia.
 Bondia Francis Miyeyusho (kushoto) amshambulia kwa makonde mazito mpinzani wake, Mbwana Matumla wakati wa mchezo wao uliomalizika usiku huu katika ukumbi wa Diamond Jubilee. Picha zaidi za pambano hilo na matukio kibao zitakujia....uskose kutembelea Blog hii....

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.