Rais Jakaya Mrisho Kikwete (watatu kulia mstari wa pili) akiwa na baadhi ya wakuu wa nchi wanachama wa Jumuia ya madola, wakimsikiliza mtu mwenye asili ya watu wa Australia ( anaeonekana kwenye kingamuzi) akielezea asili ya nchi hiyo leo mjini Perth nchini Australia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wakuu wa nchi wanachama wa jumuia ya madola. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
Mzumbe Ndaki ya Mbeya Yafanya Mahafali ya 24 ya Chuo
-
CHUO Kikuu Mzumbe, Ndaki ya Mbeya, kimekamilisha ujenzi wa zahanati ya
kisasa iliyogharimu shilingi 465,706,251.70, ambayo sasa imeanza kutoa
huduma za afy...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment