Habari za Punde

*TANGAZO LA MSIBA WA AHMED SENGA-UINGEREZA

Marehemu Ahmed Senga
Bw Mrisho Senga Mlela wa London UK, anasikitika kuwatangazia kifo cha mwanawe Ahmed Mrisho Senga (pichani) kilichotokea ghafla huko Switzerland.

Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu kwenda Dar es salaam Tanzania kwa mazishi inafanyika.

Familia imetoa maelekezo ya yeyote atakaependa kutoa mchango wake mchango wake ili mwili wa marehemu uweze kusafirishwa nyumbani kutoka Switzerland.

Watakaopenda kutoa michango yao watumie account ifuatayo ya familia ya marehemu
Michango iwekwe kwenye

LLOYDS TSB BANK
A/C 12176968
SORT CODE 30-93-61

Kamati ya maandalizi inaongozwa na
Bw Mrisho Senga: 07536477586
Bw Fadhili Karanja: 07424064084 +255756444369
Bw Ally Sungura: 07405595831
Bw Issa Kibira: 07828198578

Familia, ndugu na jamaa inatanguliza shukrani za dhati ahsanteni

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.