NAIBU Katibu Mkuu wa CCM (Bara), John Chiligati (kulia), akikabidhi hundi ya sh. milioni 70 kwa mwakilishi wa kampuni ya PNR Services Limited, Dasharath Reddy, zilizotolewa msaada na mfanyabiashara Jaffer Sabodo kwa ajili ya kuchimba visima 10 vya maji katika Jimbo la Singida Mjini, mkoani Singida. Katikati ni mwakilishi wa Mbunge wa Singida Mjini, Mohammed Dewji, Esther Dotto. Makabidhiano hayo yamefanyika nyumbani kwa mfanyabiashara huyo, Upanga, jijini Dar es salaam, hivi karibuni.
MAMIA WAFURIKA KATIKA KAMBI YA MATIBABU YA MACHO INAYOENDESHWA NA MUHIMBILI
ZANZIBAR
-
Mamia ya wananchi wamejitokeza kupata huduma katika Kambi Maalum ya
Matibabu ya Macho inayoendeshwa na madaktari bingwa kutoka Hospitali ya
Taifa Muhimbi...
5 hours ago
No comments:
Post a Comment