Mkuu wa Vodacom Foundation, Yessaya Mwakifulefule, akimshukuru Ofisa Elimu waWilayaya Sumbawanga, Emilia Fungo baada ya hafla fupi ya kukabidhi vyumba viwili vya madarasa ya Shule ya Sekondari Lusaka wilayani humo vyenye thamani ya sh. Milioni 37 viivyojengwa kwa msaada wa Vodacom Foundation.
Ofisa Tarafa, Peter Masudi, akifungua rasmi vyumba viwili vya madarasa ya shule ya Sekondari Lusaka yaliyojengwa kwa msaada wa Vodacom Foundation yenye thamani ya shilingi milioni 37, wakati wa makabidhiano hayo yaliyofanyika jana mkoani Rukwa (kulia) ni Mkuu wa Vodacom Foundation Bw. Yessaya Mwakifulefule .
Kikundi cha ngoma cha wanawake kikitoa burudani katikahaflafupi ya makabidhiano yamadarasa mawili yaliyojengwa kwa msaada wa Vodacom Foundation kwa Shule ya Sekondari Lusaka Wilaya ya Sumbawanga.
No comments:
Post a Comment