Ambapo jumla ya warembo 12 watapanda jukwaani siku hiyo ya Oktoba 22, kuwania taji hilo.
Shindano hilo litakalofanyika katika Ukumbi wa
Savanna Lounge (Quality Center) uliopo barabara ya Pugu, litapambwa na wasanii mbalimbali maarufu kama, Dully Sykes, D-Nob, Ngoma za asili na vijana wa kutikisika (Shers) pia mbali ya burudani hizo kutakuwa na Suprize ya majaji pamoja masupastaa wa movie.Akizungumza na Sufianimafoto, mwandaaji mmoja wa waratibu wa shindano hilo, alisema kuwa, tiketi za fainali za shindano hilo zinapatikana katika Ofisi za CLOUDS fM, CHUONI hapo, JB BELMONT HOTEL, SAVANNA LOUNGE (Quality Center) kitchen hut (Mlimani City) ambapo viingilio ni Sh. 10,000/= (kawaida) na V.I.P ni sh. 30,000/=
Baadhi ya warembo hao wakiwa katika pozi tofauti wakati wa mazoezi yao ya kujiandaa na shindano hilo.
Warembo hao wakipozi kwa pozi la 'Beach'....wakiwa katika mazoezi.
Hata pozi hizi zipo katika mapozi ya Kimiss???? ni kama wanacheza mugongo mugongo!!!! Huyu nae alitaka kuonyesha nini?????
Kama Wema Sepetu vile!!!! ama ni mwanafunzi wake nini???
Pozi la Snap tu.....utadhani anapicha piga ya kwenye albam!!!
Bonge la Smile na jukwaani usisahau kutoa smile hilo uwachanganye majaji ok!?
No comments:
Post a Comment