Mume wa mama wa kichina akijaribu kuwaelewesha wakusanyaji wa ushuru wa maegesho ya magari kuwa wameshazoea hivyo kutolipa siku ya jumamosi na jumapili kwani ni siku za mapumziko.
Mmoja wa watumishi wa kampuni ya AAICO ambayo ndiyo wamepewa dhamana ya kukusanya ushuru wa maegesho ya magari jijini mbeya akitoa mnyororo kulifunga gari la wachina hao huku mama wa kichina akilia kwa hasira pembeni.
No comments:
Post a Comment