Habari za Punde

*AJALI HAINA KINGA, MWENYEEEEEWE MTARONI PUUUU!

 Gari dogo lenye namba za usajiri T 945 BJF, likiwa limetumbukia mtaroni eneo la Kinondoni Shamba leo asubuhi. Haikuweza kufahamika chanzo cha ajali hiyo kuwa ni kijimvua kilichonyesha asubuhi ya leo ama kuna jingine kwani dereva huyo Mwanamama alikuwa peke yake bila kupishana na gari eneo hilo, mara Puuu! mtaroni na kuwapa ajira vijana wa mtaa huo ili kumtolea gari hilo.
Viajana wa mtaa huo wakijiandaa kulinasua gari hilo mtaroni.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.