Mtaro wa maji machafu uliopo maeneo ya Kinondoni Shamba Dar es Salaam, ukiwa umejaa takataka ambazo miongoni mwa taka hizo ni zile zinazotupwa na wakazi wa maeneo hayo bila kujali usafi wa mazingira. Wabongo lipi jema????
Air Tanzania Yatua Victoria Falls kwa Mara ya Kwanza, Yaongeza Safari
Zimbabwe
-
NDEGE ya Shirika la Ndege Tanzania (Air Tanzania) imefanya first touch down
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Victoria Falls, Zimbabwe, leo mchana
t...
4 hours ago

No comments:
Post a Comment