Mwanamitindo wa Kimataifa, Doreen Estazia (kulia) akipozi kwa picha na baadhi ya wanamitindo wa nchini Afrika Kusini wakati alipokwenda kupata uzoefu wa Afrika Fashion Week baada ya kualikwa na Millen Magese (Happiness Magese) ambapo Mbunifu huyo amepania kuiwakilisha ipasavyo Tanzania katika hatua ya kimataifa.
Doreen, akipozi kwa 'Snap' na ma-modo....
Mapozi ya 'Snap' yanaendelea....
No comments:
Post a Comment