Habari za Punde

*JK AWAANDALIA CHAKULA CHA USIKU PRINCE CHARLESS NA DUCHESS OF CORNWALL-IKULU

 Rais Jakaya Kikwete, mkewe Mama Salma, Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, mkewe, Mama Asha Bilal, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe, Tunu Pinda, wakiwa katika picha ya pamoja na wageni wao, mtoto wa Malkia Prince Charless na mkewe, walipokuwa wakiangalia kikundi cha Ngoma ya asili wakati wa hafla ya Chakula cha Usiku iliyoandaliwa na Rais Ikulu Dar es Salaam jana usiku kwa ajili ya Mtoto Malkia, Prince Charless na mkewe.
 Wasanii wa Ngoma ya Asili, wakishambulia kwa burudani.
 Rais Jakaya, akiongozana na mgeni wake Prince Charle...kuelekea ukumbini.
 Mama Asha Bilal, akiongozana na Mama Tunu pinda, kuelekea ukumbini.
 Waheshimiwa wakibadilishana mawazo kabla ya kuanza rasmi kwa hafla hiyo.
 Prince, Charless, akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Mama Asha Bilal, akiteta jambo na Prince Charless. Kushoto ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.