Mkongwe wa nchezo wa ngumi ambaye hivi sasa ni kocha aliyewafandisha vijana wengi wa nchezo huo, ambapo mmoja kati ya vijana hao ni Kocha wa mcheo huo Rajab Mhamila 'Super D' aliyejiunga na katika mchezo huo 1984 kipindi hicho akiwa bwana mdogo sana na kufanikiwa kutamba kupitia mchezo wa masubwi, ambapo kwa sasa ni mpiga picha wa gazeti la Majira na Kocha wa mchezo huo. Pichani Habib Kinyogoli (wa pili kulia) akiwa na kikombe chake baada ya kushinda katika moja ya mchezo wake huko majuu na kupokelewa na Hayati Rashid Kawawa.
FURSA MPYA KWA VIJANA: BILIONI 2 KWA WATENGENEZAJI WA MAUDHUI
-
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda, amesema
Wizara imepatiwa kiasi cha TZS bilioni 2 itakayowawezesha watengenezaji wa
mau...
31 minutes ago

No comments:
Post a Comment