Habari za Punde

*JUMUIYA YA AFRIKA YANG'ARA KATIKA MAONYESHO YA WORLD MARKET UINGEREZA

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige na Naibu Balozi Chabaka, wakipokea zawadi ya mpira na cheti, wakati wa hafla ya siku ya jumuiya ya Afrika mashariki ambayo hufanyika kila mwaka katika maonyesho ya WTM, nchini Uingereza. Kwa kawaida sherehe hizi hufanyika katika banda la nchi ambayo ni mwenyekiti wa Afrika Mashariki, kwa hiyo mwaka huu tafrija hii ilifanywa kwenye banda la ndugu zetu wa Burundi.
 Mh Jihad akiwa na wafanyakazi wa Bodi ya Utalii ya Zanzibar.
 Mchezaji wa Soka la kulipwa kutoka nchini Ghana, Asamoah Gyan, akipozi kwa picha na baadhi ya Wabongo wanaofanyakazi katika banda la Tanzania katika Maonyesho hayo, wakati alipotembelea Banda la Tanzania
Badhi ya Waheshimiwa, Ephraim Kamuntu, Najib Balala na Victorie Ndikumana, wakiwa katika Banda la maonyesho.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.