MADEREVA WALIOFUNGIWA LESENI KWA KIPINDI CHA
JANUARY HADI NOVEMBER MWAKA 2011.
01.TITO S/O MKONGWE:-LESENI NO 191887 CLASS “E” Imetolewa huko mwaka…uko…….Mnamo tarehe 20/02/2011 majira ya saa 19.45 hrs huko Ifunda barabara kuu ya Iringa/Mbeya akiendesha gari no T.785 AXU/T.996 AZG Scania Lory mali ya JULIAS S/O MUNGA uligongana na gari no T .281 ATH Mitsubish Fuso iliyokuwa inaendeshwa na JUMA S/O RAJABU na kusababisha uharibifu wa magari yote mawili ,amefungiwa Leseni na Mahakama kwa muda wa miezi mitatu kuanzia 25/02/2011.
02.NICO S/O LUGENGE:-LESENI NO 1090368 CLASS “C” Imetolewa huko Mbeya mwaka 2009 Mnamo tarehe 06/01/2011 huko Ihemi barabara kuu ya Iringa/Mbeya akiendesha gari no T.398 BEG/T.619 ACD Scania mali ya MT HUWEL aligonga gari T.204 ABH Mitsubishi Fuso mali ya SHINKANSEN GENERAL ENTERPRISES LTD ya Mwanza iliyokuwa ikiendeshwa na EXAUD S/O RICHARD na kusababisha uharibifu wa magari yote mawili ,amefungiwa leseni na Mahakama kwa muda wa mwaka mmoja kuanzia tarehe 14/02/2011.
03.KALISTUS S/O MBELE:LESENI NO 0066842 CLASS “C” Imetolewa huko Iringa mwaka 2008 Mnamo tarehe 18/10/2010 majira ya saa 06.50hrs huko Mkawaganga (W) ya Kilolo barabara kuu ya Iringa/Morogoro akiendesha gari NO T.835 AVH Toyota Hiace mali ya Frank s/o Gamaya wa Njombe alimgonga mtembea kwa miguu na kusababisha kifo ,amefungi na Mahakama miezi mitatu kuanzia tarehe 09/03/2011.
04.HERY S/O WIHENGE:LESENI NO…..CLASS..:Imetolewa huko ….mwaka…..Mnamo tarehe 06/10/2010 majira ya saa 02.00hrs huko eneo la Ifunda barabara kuu ya Iringa/Mbeya akiendesha gari no T. 672 BBF Toyota Opa mali ya ROSE ALLY MBISHI uliacha barabara na kupinduka na kusababisha vifo,umefungiwa na Mahakama miezi sita kuanzia tarehe 09/03/2011.
05.JULUS S/O MWAMTOBE ; LESENI NO 4000006746 Imetolewa huko Dar-es-salaam.Mwaka 2010 Mnamo tarehe 20/04/2011 majira ya saa 08;15hrs huko eneo la Ufwala barabara kuu ya Makambako/Mbeya akiwa anaendesha gari no T666 BCR YUTONG-BUS mali ya NEW FORCE ulimgonga mpanda baiskeli nakuligonga gari dogo na kusababisha vifo vya watu wanne.amefungia leseni yake ya udereva kwa
muda wa miezi sita kuanzia tarehe 21/04/2011 amefungiwa na polisi.
06. LAUREAN S/O MWANOSA : Leseni Class “C” no. 0066495 iliyotolewa iringa Mwaka 2009 . Mnamo tarehe 26/10/2010 majira ya saa 18:15hrs huko njia panda ya Wenda Barabara kuu ya Iringa Mbeya akiwa akiendesha gari NO. DPF.3079 Toyota Land cruiser alimgonga mtembea kwa miguu na kusababisha kifo amefungiwa leseni yake kwa miaka mitatu na Mahakama kuanzia tarehe 02/08/2011.
07.STEPHINE S/O MWAKIBOLWA :-mwenye leseni namba 076088 daraja “C” amefungiwa na Polisi kwa muda wa miezi sita kuanzia tarehe 02/05/2011.
08. JOSEPH S/O NZELU:- mwenye leseni namba 226536 daraja “D” ,mnamo tarehe 21/05/2011 majira ya saa 19.30hrs ,eneo la Tagamenda barabara ya Kilolo ,akiwa na gari no T.755 AJB Isuzu Tipper mali ya GEOFREY S/O MUNGAI alimgonga mtembea kwa miguu na kusababisha kifo amefungiwa na amefungiwa na mahakama kwa muda wa miezi sita kuanzia tarehe 12/09/2011.
09.DANNY S/O MPOGOLE:- mwenye leseni namba 085835 daraja “D” amefungiwa na Polisi kwa muda wa miezi sita kuanzia tarehe 13/06/2011
10.WILINED S/O MCHALA :-mwenye leseni namba 266936 daraja “E” amefungiwa na Polisi kwa muda wa miezi sita kuanzia tarehe 03/06/2011.
11.GODFREY S/O CHALE:- mwenye leseni namba 0013176 daraja “C” amefungiwa na Polisi kwa muda wa miezi sita kuanzia tarehe 30/06/2011.
12. HARRY S/O WIHENGE:-mwenye leseni namba1571516 daraja “D” akiwa na gari No. T. 672 BFF aina ya Toyota OPA mali ya Rose Mbisha wa Dar-es salaam mnamo tarehe 06/10/2010 majira ya saa 02:00hrs huko maeneo ya Ifunda Wilaya ya Iringa Vijijini barabara Kuu ya Iringa/Mbeya aliacha njia na Kupinduka na kusababisha Kifo cha abiria mmoja amefungiwa na mahakama kwa muda wa miezi sita kuanzia tarehe 09/05/2011.
13.ABDALLAH S/O SOSOVELA:-mwenye leseni namba 0061851 daraja “C” , iliyotolewa Iringa ,mnamo tarehe 08/03/2010 saa 07.30hrs huko eneo la Shule ya Msingi Mlangali Manispaa ya Iringa ,akiwa na gari no T.639amefungiwa na Mahakama kwa muda wa miezi sita kuanzia tarehe 02/05/2011
14.FURAHA S/O JOSEPH:- mwenye leseni namba 1031008 daraja “H” iliyotolewa Iringa ,mnamo tarehe 08/03/2010 saa 07.30hrs huko eneo la Shule ya Msingi Mlangali Manispaa ya Iringa ,akiwa na gari no T.639 BFJ Toyota Crester mali yake alimgonga mtembea kwa miguu na kusababisha kifo, amefungiwa na mahakama kwa muda miezi mitatu kuanzia tarehe 15/05/2011
15. BAHATI S/O ANDREW :- mwenye leseni namba 058417 daraja “C” amefungiwa na mahakama kwa muda mitatu kuanzia tarehe 12/07/2011.
16.JULIUS S/O MAYUNGA :- mwenye leseni namba 0079520 daraja “C” amefungiwa na mahakama kwa muda wa miezi mitatu kuanzia tarehe 01/05/2011
17. ZAKARIA S/O SAIDI Mwenye leseni namba 4000016175 daraja “C” iliyotolewa 2010 Dar-es-salaam .mnamo tarehe 22/06/2011 majira ya saa 12:30 huko maeneo ya Mlima wa Ihemi Wilaya ya Iringa vijiji Barabara kuu ya Iringa Mbeya akiwa baa gari No. T. 658 BCT Nissan Bus psv mali ya Sumry wa Sumbawanga aligonga gari kwa nyuma na kusababisha majeruhi na uharibifu wa gari.amefungiwa leseni yake na mahakama kwa miezi sita kuanzia tarehe 03/08/2011.
18. ALEX S/O BUNYINYIGA mwenye leseni namba 056966 daraja “C” iliyotolewa mwaka 1987 huko MOROGOROamefungiwa leseni yake kituo cha polisi amefungiwa kwa miezi sita kuanzia tarehe 29/07/2011.
19.JOHN S/O MCHALLA:- mwenye leseni namba 0060009 daraja ‘C’ iliyototolewa mwaka 2009 huko Mbeya, akiwa na gari No. T.885 BNQ aina ya Toyota Coster mali ya ANOTHER G mnamo tarehe 14/01/2011 majira ya saa 17:05 hrs huko maeneo ya Tanangozi Wilaya ya Iringa Vijijini kwa uzembe aligonga gari linguine na kusababisha Vifo vya watu wane na majeruhi 10. amefungiwa leseni yake na mahakama kwa miezi sita kuanzia tarehe 04/08/2011.
20.SHAMA A. MGUNDA mwenye leseni namba 221713 daraja “E” iliyotolewa mwaka 2010 Iringa ,mnamo tarehe 22/7/2011 saa 20.00hrs ,akiwa na gari no T.670 ARG M/Truck mali yake,eneo la Mgongo barabara ya Iringa /Dodoma alimgonga mpandabaiskeli na kumsababishia kifo , leseni yake imefungwa na mahakama kwa muda wa miezi sita kuanzia tarehe 26/08/2011.
21.FESTO S/O MAHENGE mwenye leseni namba 158346 daraja “E” ilyotolewa mwaka 2008 Iringa leseni yake imefungiwa na mahakama kwa muda wa mwaka mmoja kuanzia tarehe 18/08/2011.
22.RAMADHAN S/O JAPOTENDA mwenye leseni namba 044184 daraja “C” iliyotolewa mwaka 1980 Der-es-salaam ,akiwa na gari no T.862 ADX Isuzu CVR mali ya URSINO LTD ya DSM, Mnamo tarehe 2/7/2011 majira ya saa 10.45hrs huko Pawaga alishindwa kupanda mlima hivyo gari ilrudi nyuma na kupinduka lesenin yake imefungiwa na mahakama kwa muda wa miaka mitatu kuanzia tarehe 06/09/2011.
23.EMMANUEL DANIFODI SAMORA mwenye leseni no 4000075659 daraja ”E” iliyotolewa mwaka 2011 leseni yake imefungiwa na mahakama kwa muda wa miezi sita kuanzia tarehe 16/09/2011.
24.SHAIBU G. CHANGULA mwenye leseni no 135011 ya daraja “D” iliyotolewa Iringa mwaka 2007 leseni yake imefungiwa na polisi kwa kipindi cha miezi 6 kuanzia tarehe 05/08/2011.
25.ABRAHAM MNYENYELWA mwenye leseni no 0015935 iliyotolewa Dodoma mwaka 2007,akiwa na gari no T.698 AJN Scania Bus mali ya CHRISTOPHER NZIKU wa Iringa ,mnamo tarehe 11/10/2011 huko barabara ya Dabaga mlianza kufukuza na dereva mwingine ambaye nae alikuwa na gari la abria leseni yake imefungiwa na polisi kwa pindi cha miezi 6 kuanzia tarehe 13/10/2011 kwa kosa la matumizi mabaya ya barabara.
26.AGREY CHURA mwenye leseni no 055509 iliyotolewa MOSHI mwaka 1995 akiwa na gari no T.489 AFN Scania Bus mali ya CHARLES NYAGAWA wa Iringa mnamo tarehe 11/10/2011 huko barabara ya Dabaga mlianza kufukuza na dereva mwingine ambaye nae alikuwa na gari la abria leseni yake imefungiwa kwa kipindi cha miezi sita na polisi kuanzia tarehe 13/10/2011 kwa kosa la matumizi mabaya ya barabara.
27.DAMAS MGONGOLWA mwenye leseni no 4000075421 daraja C iliyotolewa huko Dar-es-Salaam ,akiwa na gari no T.253 AYU Scania bus PSV mali ya Jonas Nyagawa ya Iringa, Mnamo tarehe 27/09/2011 majira ya saa 13.30hrs huko mwanzoni mwa Mlima wa Kitonga (W) ya Kilolo aliyapita magari mawili na kuona atagongana uso kwa uso na gari linalokuja mbele yake hivyo alilitoa gari nje na kupinduka leseni yake imefungiwa kwa kipindi cha miezi sita.
FEDHA ZA FAINI ZILIZOKUSANYWA KWA KIPINDI CHA MIEZI MIWILI SEPTEMBER NA OCTOBER MWAKA HUU.
KWA MWEZI SEPTEMBER- TSHS 62,690,000/=
“ “ OCTOBER –TSHS 62,520, 000/=
JUMLA TSH,125,210,000/= NI KWA KIPINDI CHA MIEZI MIWILI TU.

No comments:
Post a Comment