Habari za Punde

*NAMIBIA KUSHIRIKI MICHUANO YA CHALENJI

Timu wa Namibia itashiriki michuano ya Kombe la Chalenji itakayoanza Novemba 25 mwaka huu ikiwa timu mwalikwa baada ya Eritrea kujitoa.
 
Hivyo Namibia inaingia moja kwa moja katika kundi A ambalo lina mabingwa watetezi Tanzania Bara, Rwanda na Djibouti.
 Pia ratiba ya mashindano hayo yanayodhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia bia ya Tusker imetangazwa rasmi leo (Novemba 16 mwaka huu) ambapo mechi zote zitachezwa Dar es Salaam baada ya Mkoa wa Mwanza kushindwa kutimiza masharti na vigezo iliyopewa ili nayo iwe kituo cha michuano hiyo.
Mechi mbili zitachezwa kwa siku Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam isipokuwa Novemba 26 mwaka huu ambapo kutafanyika uzinduzi rasmi saa 10 jioni kwa mechi kati ya Tanzania Bara na Rwanda.
 Novemba 25 mwaka huu kutakuwa na mechi kati ya Burundi na Somalia (saa 8 mchana) na Uganda na Zanzibar itakayoanza saa 10 jioni.
 MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI
Kocha Mkuu wa timu ya Tanzania Bara (Kilimanjaro), Charles Boniface Mkwasa kesho (Novemba 17 mwaka huu) saa 6 mchana atakuwa na mkutano na waandishi wa habari.
Mkutano huo utafanyika ofisi za TFF ambapo pamoja na mambo mengine atatangaza kikosi kitakachotetea Kombe la Chalenji.
RATIBA YA MASHINDANO HAYO
CECAFA TUSKER CUP 2011
25TH NOVEMBER-10TH DECEMBER, TANZANIA.
GROUP A                             GROUP B                              GROUP C
TANZANIA                           UGANDA                              SUDAN
RWANDA                              BURUNDI                             MALAWI
NAMIBIA                              ZANZIBAR                           KENYA
DJIBOUTI                              SOMALIA                             ETHIOPIA
CLASSIFICATION: The top two teams and the best two qualifiers from all the three groups qualify to the quarter finals.
DATE
M.
NO.
TEAMS
GROUP
VENUE
TIME
Friday 25th  Nov 2011
1
2
Burundi Vs Somalia
Uganda Vs Zanzibar
B
B
Dar
Dar
2.00PM
4.00PM
Sat 26th Nov 2011
3
Tanzania Vs Rwanda
A
Dar
4.00PM
Sun  27th Nov 2011
4
5
Namibia Vs Djibouti Zanzibar Vs Burundi
A
B
Dar
Dar
2.00PM
4.00PM
Mon 28th Nov 2011
6
7
8
Sudan Vs Ethiopia
Kenya Vs Malawi
Somalia Vs Uganda
C
C
B
Dar
Dar
Azam
2.00PM
4.00PM
4.00PM
Tue 29th Nov 2011
9
10
Rwanda Vs Namibia
Djibouti Vs Tanzania
A
A
Dar
Dar
2.00PM
4.00PM
Wed 30th Nov 2011
11
12
Ethiopia Vs Kenya
Malawi Vs Sudan
C
C
Dar
Dar
2.00PM
4.00PM
Thur 1st  Dec 2011
13
14
Somalia Vs Zanzibar
Burundi Vs Uganda
B
B
Dar
Dar
2.00PM
4.00PM
Fri 2nd Dec 2011
15
16
Rwanda Vs Djibouti
Ethiopia Vs Malawi
A
C
Dar
Dar
2.00PM
4.00PM
Sat 3rd Dec 2011
17
18
Kenya Vs Sudan
Tanzania Vs Namibia
C
A
Dar
Dar
2.00PM
4.00PM
Sun 4th Dec 2011

REST DAY





Quarter Finals



Mon 5th Dec 2011
19
20
C2 Vs B2
A1 Vs Best loser 1

Dar
Dar

Tue 6th Dec 2011
21
22
C1 Vs Best loser 2
B1 Vs A2

Dar
Dar

Wed 7th Dec 2011

REST  DAY





Semi Finals



Thur 8th Dec 2011
23
24
Winner 19 Vs winner 20
Winner 21 Vs Winner 22

Dar
Dar

Frid 9th Dec 2011

REST DAY





Final  And Third Place



Sat 10th Dec 2011
25
26
Loser 23 Vs Loser 24
Winner 23 Vs Winner 24

Dar
Dar


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.