Habari za Punde

*MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AONGOZA MAJADILIANO YA MKUTANO WA UWEKEZAJI WA CHAKULA NA KILIMO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa Mkutano wa Uwekezaji wa Chakula na Kilimo, ulioanza leo, 2011  kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Prof.  Jumanne Maghembe, baada ya kuwasili kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza kwa ajili ya kuongoza mkutano wa Uwekezaji wa Chakula na Kilimo, ulioanza leo, jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Jumanne Maghembe, akizungumza wakati wa Mkutano huo.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Mohamed Muya, akizungumza wakati wa mkutano huo.
Makau wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.