Habari za Punde

*MISS VENEZUELA 2011 IVAN SARCOS ATWAA TAJI LA MISS WORLD 2011

BAADA ya shindano la kumsaka mrembo wa dunia 2011 kumalizika hatimaye alitangazwa msndi wa shindano hilo 'Malkia wa Dunia' 2011, mrembo kutoka nchini Venezuela (Miss Venezuela 2011) Ivian Sarcos katika shindano hilo lililofanyika usiku wa Jumapili Novemba 6. Pichani ni Miss World 2011, Ivian Sarcos, akiwa katika pozi na warembo wenzake wa pili hadi wa tano baada ya kutangazwa washindi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.