Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), David Mataka akitoka katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo baada ya kusomewa mashitaka matatu yanayomkabiri likiwemo la kushindwa kutoa taarifa sahihi za matumizi ya vitu mbalimbali vya shirika hilo. Ba ya kusomewa mashitaka hayo, Mataka ameachiwa kwa Dhamana ya Sh. Mil. 20 kutoka kwa wadhamini wawili tofauti ambao kila mmoja amemdhamini kwa sh.Mil. 10.
Balozi Shelukindo: SADC Inahitaji Mshikamano Thabiti wa Kiusalama
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Tanzania imeandaa Mkutano wa 27 wa Kamati ya Mawaziri wa Jumuiya ya
Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuhusu Ushirikiano w...
13 minutes ago
No comments:
Post a Comment