Ofisa Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa Mashirika ya Umma PSPF, Bi.Fatma Elhady (kushoto) akimkabidhi msaada wa hundi ya shilingi milioni 1.5 Bi.Dominion Apiyo wa Kikundi cha Walemavu cha Little cha Chang'ombe wilayani Temeke,Dar es Salaam jana(.Picha na mpigapicha wetu)
Bodi ya michezo ya kubahatisha (GBT) yazindua kampeni Fichua, Tukomeshe
Mashine Haramu za Dubwi, kamata kamata kufanyika nchi nzima
-
Na Mwandishi wetu
Dar es Salaam. Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) kwa
kushirikiana na wenyeviti wa serikali za mitaa wa mkoa wa Dar es Salaam ...
21 minutes ago
No comments:
Post a Comment