Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiongozana na Mtoto wa Malkia Prince Charles na Mkewe Duchess of Cornwall, wakati walipowapokea Ikulu leo asubuhi jijini Dar es salaam. Picha na Ikulu
Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakizungumza na Mtoto wa Malkia Prince Charles na Mkewe Duchess of Cornwall, wakati walipowapokea Ikulu Dar es salaam leo asubuhi.
No comments:
Post a Comment