Rais Jakaya Kikwete, akiwakaribisha Viongozi wa Chadema wakati walipofika Ikulu Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuonana naye kwa ajili ya kufanya naye mazungumzo. Baada ya kuwasili viongozi hao rais aliwaomba viongozi hao kusubiri ili wapiga picha waweze kupata picha za historia hii muhimu kwa Taifana hapa alikuwa anasalimiana na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe Ikulu jijini Dar es salaam leo jioni.
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na jambo na Prof. Mwesiga Baregu kulia, katikati ni Mwanasheria wa na Mbunge wa CHADEMA Tundu Lisu, huku viongozi wengine wakishuhudia.
No comments:
Post a Comment