Wanamitindi wa Kibongo walioshiriki katika Tamasha la wanamitindo lililofanyika jana jioni Maryland wakiwa jukwaani wakati wakiwakilisha kwa mavazi yao ya nguvu yaliyokonga na kumvutia kila aliyehudhuria shoo hiyo.
RC Sendiga aanza ziara ya Kata kwa Kata Hanang', akagua miradi na kutatua
kero za Wananchi
-
*Na Ruth Kyelula, Manyara*
*Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Sendiga, ameanza ziara maalumu ya
ukaguzi wa miradi na kusikiliza kero za wananchi kati...
19 minutes ago
No comments:
Post a Comment