Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Balozi wa Shirikisho la Urusi (Russian Federation) Bw. Alexandra Alexandrovich Rannikh baada ya kukutana na kuongea nae leo Ikulu jijini Dar es salaam. Katikati ni mkalimani, Nikita Rassokhin. (Picha na Ikulu)
KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA RAIS SAMIA KUANZA RASMI MKOA WA TANGA
APRILI 8 MWAKA HUU
-
Na Oscar Assenga, TANGA
KAMPENI ya Msaada wa kisheria ya Rais Dkt Samia Suluhu “Mama Samia Legal
Aid Campaign” inatarajiwa kuanza kutoa huduma za msaada ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment