Mshambuliaji wa timu ya Taifa 'Taifa Stars' Mbwana Samatta, akimtoka beki wa Chad, Sylvain Doubam, wakati wa mchezo marudiano kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, mpaka hivi sasa bado ni droo na mpira ni mapumziko ukitarajiwa kuanza kipindi cha pili baada ya dakika chache zijazo.
Nsekela Aridhishwa na Utayari wa Ofisi ya CRDB Bank Dubai Katika Kukuza
Biashara na Uwekezaji
-
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, ametembelea Ofisi
ya Uwakilishi ya Benki ya CRDB iliyopo Dubai, Falme za Kiarabu, ikiwa ni
hatu...
13 minutes ago

No comments:
Post a Comment