Habari za Punde

UHURU CHATA YADHAMINI RUGBY HOPAK SCHOOL

  Wabunifu bingwa wa mavazi Tanzania Vida Mahimbo (kushoto) na Ally Remtulla (kulia) wakimkabidhi Shaun Graham jezi za timu ya mchezo wa rugby, Shaun pia ni Mratibu wa klab ya watoto wa Salasala katika mchezo huo, Jezi hizo na vifaa vimetlewa na  
Chata ya Uhuru ambao ni Usirikiano wa wabunifu wa mavazi, Ally Remtullah na Vida Mahimbo, wanaofanyakazi kwa ushirikiano na kampni ya Adidas ya Italia kwa lengo la kukuza na kuendeleza vipaji kwa vijana hususan katika mchezo wa Rugby.
Kocha na Mtaalam wa mchezo wa Rugby Shaun Graham (wa kwanza kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Vijana wanaounda timu ya Kunduchi Knights.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.