*WANAMITINDO WA KIBONGO 'KINYUMBANI" WATINGISHA NA KUKONGA JIJI LA MARYLAND US
Wanamitindi wa Kibongo walioshiriki katika Tamasha la wanamitindo lililofanyika jana jioni Maryland wakiwa jukwaani wakati wakiwakilisha kwa mavazi yao ya nguvu yaliyokonga na kumvutia kila aliyehudhuria shoo hiyo.
No comments:
Post a Comment