Habari za Punde

*BALOZI WA MAREKANI NA BALOZI WA ULAYA WAMTEMBELEA RAIS JAKAYA IKULU DAR ES SALAAM LEO

  Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na Balozi wa Ulaya nchini,Tim Clarke,  aliyemaliza muda wake, aliyefika Ikulu Dar es Salaam leo kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake nchini.
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Mabalozi wa Marekani nchini aliyemtembelea Ikulu Dar es Salaam leo kwa ajili ya mazungumzo. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.