Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, abaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA, DkT. Ali Mohamed Shein, akimtunuku shahada ya uzamivu ya heshima ya chuo kikuu cha Taifa SUZA Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume,wakati wa sherehe za mahafali ya 7 ya chuo hicho zilizofanyika kwenye viwanja vya Mnazi mmoja Mjini Unguja jana. Picha na Ramadhan Othman IKULU.
WAHIFADHI TFS SAO HILL WAJENGEWA UELEWA WA AFYA
-
Mhifadhi Mkuu wa Shamba la Miti Sao Hill, PCO Tebby Yoramu,akiwa anapima
afya akiwaongoza watumishi wengine wa Zao Hill kupima afya zao na amesema
mafu...
29 minutes ago

No comments:
Post a Comment