Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (katikati) akikabidhi tiketi ya daraja la economy ya kutoka Dar es salaam kwenda Dubai na kurudi kwa mmoja wa washindi waliobahatika katika hafla iliyofanyika hivi karibuni katika Ubalozi wa Falme za Kiarabu kwa kushirikiana na shirika la ndege la Emirates katika kusherekea kumbukumbu ya miaka 40 ya uhuru wa nchi yao. Anayeshuhudia pembeni ni Meneja wa Emirates Tanzania Bwana Abdul Aziz Al Hai.
TASAC YAIBUKA MSHINDI WA PILI TUZO ZA NBAA 2024
-
Na Mwandishi Wetu
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) imeshika nafasi ya pili katika
tuzo ya uandaaji na uwasilishaji wa taarifa za mahesabu kwa ...
40 minutes ago

No comments:
Post a Comment