Menu

Friday, December 2, 2011

*HAPPY BIRTHDAY CLOUDS FM RADIO NA TV

Mtandao huu wa Sufianimafoto unayo furaha kubwa kuwatakia heri na fanaka wafanyakazi na viongozi wote wa Clouds Media kwa kutimiza miaka 12 tangu kuanzishwa kwa kituo cha kurushia matangazo ya Redio na sasa Clouds TV. Hongereni sana wana wa Clouds Ujumbe wangu ni Leweni Kazi,  Msilewe Sifa, chapeni kazi.

No comments:

Post a Comment