Kocha Mkongwe wa Mchezo wa ngumi, Habibu Kinyogoli (kulia) akiwaelekeza mabondia Ubwa salumu na Abuu Mtambwe jinsi ya kutupa Masumbwi wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika Kambi ya Ilala kwa ajili ya kujiandaa na mapambano yao yatakayofanyika kabla ya mchezo kati ya Matumla na Osward, Desemba 25. Picha na R. Mhamila
Serikali Yaendelea Kuimarisha Malezi Bora ya Watoto na Kuzuia Vitendo vya
Ukatili
-
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt.
Dorothy Gwajima, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam
leo Des...
6 minutes ago
No comments:
Post a Comment