Menu

Tuesday, December 13, 2011

*KAMBI YA ILALA YAMFUA BONDIA UBWA SALUM KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE DEC 25

Kocha Mkongwe wa Mchezo wa ngumi, Habibu Kinyogoli (kulia) akiwaelekeza mabondia Ubwa salumu na Abuu Mtambwe jinsi ya kutupa Masumbwi wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika Kambi ya Ilala kwa ajili ya kujiandaa na mapambano yao yatakayofanyika kabla ya mchezo kati ya Matumla na Osward, Desemba 25. Picha na R. Mhamila

No comments:

Post a Comment