Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndungulile (kushoto) akimkabidhi cheti Msanii, Jimmy Mponda kwa kutambua mchango wa kazi zake kilichotolewa na Kampuni ya usambazaji ya Steps Entertainment Dar es salaam juzu wakati wa sherehe za kuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012 kwa wasanii wote nchini kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo. Dilesh Solanki na Rajiv Solanki.
GALARZA APIGA BONGE LA BAO PARAGUAY YAICHAPA UTURUKI 1-0 MAREKANI
-
TIMU ya Paraguay imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Uturuki katika mchezo
wa Kundi D Fainali za Kombe la Dunia Asubuhi ya leo Uwanja wa Levi's, Santa
Cl...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment