Tamasha kubwa la Nyama Choma lililopangwa kufanyika katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam, limeanza leo na kuwashirikisha wachomaji kibao kutoka Baa mbalimbali katika Viwanja hivi vya Kijitonyama jijini Dar es Salaam, pichani ni katika banda la Rose Garden likiwa tayari limeivisha nyama,
YANGA SC YALAZIMISHWA SARE 1-1 NA AL AHLY
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
KLABU ya Yanga imelazimishwa kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Al ahly ya Misri,
mchezo ambao umepigwa kwenye dimba la New Aman Z...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment